Mto Sondu (au mto Miriu) unapatikana nchini Kenya na unaishia katika ziwa Viktoria, ukichangia hivyo mto Naili na hatimaye Bahari ya Kati.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje