Mto Deho ni tawimto la mto Jipe Ruvu ambao ni kati ya vyanzo viwili vikuu vya mto Pangani ambao maji yake yanaishia katika bahari ya Hindi (mkoa wa Tanga, kaskazini mashariki mwa nchi Tanzania).

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje