Mto Mnyera ni mto wa Tanzania, tawimto la mto Kilombero, unaotiririka hadi kuungana na mto Luwegu kuunda mto Rufiji ambao unaishia katika Bahari Hindi.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje