Mto Luega ni mmojawapo kati ya mito ya Tanzania (upande wa magharibi).

Unatiririka hadi ziwa Tanganyika. Maji yake yanaendelea baadaye hata bahari ya Atlantiki kupitia mto Kongo.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje