Mto Tarangire katika Hifadhi ya Taifa ya Tarangire.

Mto Tarangire ni mto wa Tanzania Kaskazini ambao unaanzia katika mkoa wa Arusha na unaishia katika ziwa Burunge.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Coordinates: 3°50′S 36°00′E / 3.833°S 36.000°E / -3.833; 36.000