Mto Matandu ni kati ya mito ya mkoa wa Lindi (Tanzania Kusini Mashariki) ambayo maji yake yanaishia katika Bahari Hindi.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje