Mto Kilombero (au mto Ulanga) ni mto wa Tanzania mashariki, unaotiririka hadi kuungana na mto Luwegu na kuunda nao mto Rufiji ambao unaishia katika Bahari Hindi.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje