Mto Motoine ni jina la mmoja kati ya mito inayopatikana katika kaunti ya Nairobi nchini Kenya.

Mto Motoine unafululiza katika Dimbwi la Nairobi, ziwa lililofanywa na wanadamu kutoa maji ya kunywa kwa wakazi wa Nairobi. Mbele zaidi huendelea kama Mto Ngong.

Maji yake yanaishia katika mto Athi-Galana-Sabaki na hatimaye katika Bahari ya Hindi.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje