Mto Duma ni tawimto muhimu zaidi la mto Simiyu nchini Tanzania. Kwa njia hiyo maji yake yanachangia ziwa Viktoria, mto Naili na hatimaye Bahari ya Kati.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje