Papa Julius I alikuwa Papa kuanzia tarehe 6 Februari 337 hadi kifo chake tarehe 12 Aprili 352[1]. Alitokea Roma, Italia.
Alimfuata Papa Marko akafuatwa na Papa Liberius.
Anajulikana hasa kwa juhudi zake za kumaliza vurugu zilizotokana na Uario akisimama upande wa Patriarki Atanasi wa Aleksandria katika sinodi maalumu ya mwaka 342 na akidai Kanisa la Roma lilitakiwa kushirikishwa kwanza [2].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Julius I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |