Papa Pontian (kwa Kilatini Pontianus; alifariki Oktoba 235) alikuwa Papa kuanzia tarehe 21 Julai 230 hadi tarehe 28 Septemba 235[1][2], alipojiuzulu ili kuwezesha uchaguzi wa mwandamizi wake akiwa amepelekwa uhamishoni katika kisiwa cha Sardinia pamoja na antipapa Hipoliti wa Roma[3][4]. Alitokea Roma, Italia.
Alimfuata Papa Urbano I akafuatwa na Papa Anterus.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini, hasa tarehe 13 Agosti, pamoja na Hipoliti.[5][6][7].
|url-access=
ignored (help)
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Pontian kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |