Papa Pius IV.

Papa Pius IV (31 Machi 14999 Desemba 1565) alikuwa Papa kuanzia tarehe 26 Desemba 1559/6 Januari 1560 hadi kifo chake[1]. Alitokea Milano, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovan Angelo Medici.

Alimfuata Papa Paulo IV akafuatwa na Papa Pius V.

Tazama pia

Tanbihi

  1. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
  2. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father

Marejeo

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Pius IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.