Papa Felix I alikuwa Papa kuanzia tarehe 5 Januari 269 hadi kifo chake tarehe 30 Desemba 274[1]. Alitokea Roma, Italia[2].
Alimfuata Papa Dionysius akafuatwa na Papa Eutychian.
Alitoa barua muhimu kuhusu umoja wa nafsi ya Kristo na kwa msaada wa kaisari Aureliani alitatua farakano la Antiokia kuhusu Utatu Mtakatifu wa Mungu pekee[3][4].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Felix I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |