Gilgil | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Kaunti | Nakuru |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 35,293 |
Gilgil ni mji wa Kenya, kaunti ya Nakuru katika Bonde la Ufa la Afrika Mashariki.
Wakazi walikuwa 35,293 wakati wa sensa ya mwaka 2009[1].
Gilgil ni pia kata ya eneo bunge la Gilgil[2].
![]() | Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Gilgil kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |