Rumuruti ni mji wa Kenya katika Kaunti ya Laikipia.
Mwaka 2009 ulikuwa na wakazi 31,649.[1].
Rumuruti ni kata ya eneo bunge la Laikipia Magharibi[2].
![]() | Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Rumuruti kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |