Picha ya ramani ikionesha eneo la Kaunti ya Kisii, nchini Kenya
Mojawapo ya mitaa ya Kisii, Kenya

Kaunti ya Kisii ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.

Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 1,266,860 katika eneo la km2 1,323, msongamano ukiwa hivyo wa watu 958 kwa kilometa mraba[1].

Makao makuu yako Kisii.

Utawala

Kaunti ya Kisii ina maeneo bunge yafuatayo[2]:

Eneo bunge Kata
Bobasi Masige West, Masige East, Bassi Central, Nyacheki, Bassi Bogetaorio, Bobasi Chache, Sameta/Mokwerero, Bobasi/Boitangare
Bomachoge Borabu Borabu Masaba, Boochi Borabu, Bokimonge, Magenche
Bomachoge Chache Machoge Basi, Boochi/Tendere, Bosoti/Sengera
Bonchari Bomariba, Bogiakumu, Bokeira, Riana
Kitutu Chache Kaskazini Monyerero, Sensi, Mwamonari, Marani
Kitutu Chache Kusini Bogusero, Bogeka, Nyakoe, Kitutu Central, Nyatieko
Mugirango Kusini Bogetenga, Borabu/Chitago, Moticho, Getenga, Tabaka, Boikanga
Nyaribari Chache Bobaracho, Kisii Central, Keumbu, Kiogoro, Birongo, Ibeno
Nyaribari Masaba Ichuni, Nyamasibi, Masimba, Gesusu, Kiamokana

Idadi ya wakazi katika kaunti ndogo (2019)

Uchumi

Wakazi wengi wa kaunti hii wanategemea kilimo kwa chakula na mapato ya kifedha. Baadhi ya mimea inayokuzwa ni mahindi, ndizi na chai.[4].

Pia kuna biashara, hasa uuzaji wa mazao ya kilimo.

Tazama pia

Marejeo

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
  2. http://countytrak.infotrakresearch.com/Kisii-county/
  3. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
  4. Ripoti ya Ufugaji wilayani Kisii: www.smallholderdairy.org

Viungo vya Nje