Wajir | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Kaunti | Wajir |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 82,800 |
Wajir ni mji wa Kenya kaskazini-mashariki ambao ni makao makuu ya Kaunti ya Wajir.
Wakazi walikuwa 82,800 wakati wa sensa ya mwaka 2009[1]. Wengi wao ni Wasomali.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wajir kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |