Kakuma | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Kaunti | Turkana |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 65,814 |
Kakuma ni mji wa Kenya, kata ya kaunti ya Turkana, eneo bunge la Turkana Magharibi[1]..
Wakazi walikuwa 65,814 wakati wa sensa ya mwaka 2009[2], wengi wakiwa wakimbizi.
![]() | Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kakuma kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |