Kaunti ya Baringo ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.
Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 666,763 katika eneo la km2 10,976.4, msongamano ukiwa hivyo wa watu 61 kwa kilometa mraba[1]..
Makao makuu yako Kabarnet.
Kaunti ya Baringo ina maeneo bunge yafuatayo[2]:
![]() | Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kaunti ya Baringo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |