Rongo ni mji wa Kenya katika Kaunti ya Migori, haya ndiyo maeneo ya watu wa Kamagambo. Rongo ni mji ambao umenawiri kwa ukulima wa miwa.
![]() | Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Rongo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |