Kapenguria | |
Mahali pa mji wa Kapenguria katika Kenya |
|
Majiranukta: 1°14′0″N 35°07′0″E / 1.23333°N 35.11667°E | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Kaunti | Pokot Magharibi |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 71,477 |
Kapenguria ni mji wa Kenya katika Bonde la Ufa la Afrika Mashariki, kaunti ya Pokot Magharibi. Ni kata ya Eneo bunge la Kapenguria[1].
![]() | Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kapenguria kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |